Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, July 10, 2017

MYR HERO,MY NEW INSPIRATION YOHANA!!!


Harakati Za bongo ahsante sana kwa hii Interview,Nashkuru on behalf of many.
Yohana ahsante kwa kutuonyesha kuwa life is truly about choices.
You chose to fight and not be knocked down by your situation.
Kama Yohana ni kipofu na kaweza kukabiliana na hali yake,anajituma ili apate rizki,Haibi,hadanganyi,hana chuki,hamtumii mtu Bali anafight kwanini wewe Ushindwe?

3 comments:

Anonymous said...

I love him na ana imani kubwa sana. Nimeipenda sauti yake , I wish wangempa kipindi in one of the radio stations awe hata inspiration speaker I hope wanapitaga humu wasome comment wamsaidie kwa hilo...CinTea

Cute Olive said...

Ndio unajiuliza Mungu amekujalia vyote huna kasoro lakini hutaki kujishughulisha unataka kula bila jasho kweli inauma sana. Nimefurahia kujifunza kutoka kwake

Irene said...

thats amazing maana walemeavu wengi sanaa wanapenda tegemea watu, hongera sana your very inspiring