Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, July 4, 2017

IRENE UWOYA!!!8 comments:

Cute Olive said...

Mmependeza sana na vibandiko vyenu

Anonymous said...

Huyo mwingine wanja kama ule wa kidole kajijazaaa

sosoano said...

to be honest Irene Uwoya ana meno yaliyokaa vizuri
yani meupe peeeee yamepangika
afu makeup huwa zinamkubali sana
ila nywele mhhhh!!!! naona hii picha ya mwisho
Agnes yuko poa pia
makeup nzr
hizo hats zimewapendeza sana

Anonymous said...

Aliyempamba Johari Mungu anamuona ...CinTea

NURU THE LIGHT said...

Tena anamuona mara1000000...Dah!!

sosoano said...

hivi kumbe ni Johari seriasly nilikuwa sijamjua kabisaaaa
mmmhhh!!!! sio Mungu tu ila Mbingu nzima inashangaaaa

Bintinyota said...

nilikuwa sijamjua Johari imebidi nirudie tena na tena kuziangalia.

Irene said...

he he in love with the lady in red huo mgongo sasa