Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, July 21, 2017

HOPE IS A START OF ALL THINGS AND YOU NEVER GAVE UP MILLEN AND AM SO HAPPY FOR YOU MAMA KAIRO!!!

4 comments:

sosoano said...

waaaaaaaooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
am so happy for her
hapana chezea Mungu, anajibu kwa wakati wake
may God bless her new baby na kumlinda milele
hongera zake Millen

hii ndio inaitwa NEVER GIVE UP ON GOD, DONT STOP PRAYING AND THANKING HIM
mi huwa najisemeaga moyoni mwangu
KILA JAMBO LINA KUSUDI LAKE,

Amenifanya nimmepende ALMIGHTY GOD ZAIDI NA ZAIDI

Irene said...

Am happy like a fool jamani she deserve to be this happy maana alishakata tamaa long time haswaaa. Mungu ni mwema kila wakati

anonymus said...

Allah Akbar!kukosa mtoto kusikie tu hasa ukiwaunahitaji...Ya Khaliq Ya Bari Ya Mussawir Tukumbuke nasisi wengine katika Ufalme Wako Ya Rabbi.Mwamini

Cute Olive said...

Hongera sana Mama Kairo hakika Mungu ni mkuu. Mungu awalinde wape Afya njema