Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, July 6, 2017

BONGE MOJA LA TBT,SERENGETI FIESTA!!! Fiesta Dar with Rick Ross,What a night!

6 comments:

sosoano said...

hahahahha!!!!
aiseee ni bonge la TBT tena ya ukweli mana ulipendeza na mwili bado uko vilevile jmn

Irene said...

what a lovely throw back ur very proud of your past sio kama other famous ladies. your always beautiful

sosoano said...

kingine da nuu nimeona my raba jmn
kahhh1!!!! nazipenda hizo simpo ulizovaaa kwa picha ya 2
love them so badly

Totoo said...

Bob Junior yuko wapi siku hizi?? Kweli TBT la nguvu

NURU THE LIGHT said...

Totoo yupo sema mengine has taken over..
Raba hahaha sawa Soso ila nimeongezeka kiduchuu
Yes Irene I am because its my legacy,my story!

Cute Olive said...

TBT ya nguvu nafikiri hapo ulikua unaimba ule wimbo wa muhogo andazi kwa hisia haswaaa