Sheria nzuri sana...
Revenge Porn is A Crime,Wailete na Bongo maana kuna watu wanaviherehere vya kudhalilisha watu as If wao hawana sehemu za Siri. Com!
2 comments:
Anonymous
said...
Nimecheka kufa kwa uchungu badala ya kulia!Afrika tunaish karne 100 za wenzetu Magu kasema mtt wa kike akibeba mimba shule kwishinei . We unawaza sheria ya kudhaliliswa wadada. Unaingia insta ya mtu kaweka video mdada anabakwa . Huwa najiuliza Anadada Anamama Sielewi lini watapata huruma na mapenzi wakaacha udhalilishaji
2 comments:
Nimecheka kufa kwa uchungu badala ya kulia!Afrika tunaish karne 100 za wenzetu
Magu kasema mtt wa kike akibeba mimba shule kwishinei . We unawaza sheria ya kudhaliliswa wadada.
Unaingia insta ya mtu kaweka video mdada anabakwa . Huwa najiuliza
Anadada
Anamama
Sielewi lini watapata huruma na mapenzi wakaacha udhalilishaji
Opportunity never comes twice itumie kihalali,
Post a Comment