Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, July 3, 2017

BIG HAIR DON!T CARE,TODAYS!!!

Dress;Gestuz    Shoes;Zara     Bag;Vintage    Lips;NYX    Rings;Guldfynd  Photos by:Mcgreggor

9 comments:

Anonymous said...

Umependeza sana Nuru and that kipochi pochi mi huku mimacho kodooooo. Winnie

Anonymous said...

Your shoe game sistoo....ooh....

sosoano said...

da nuu pendeza sana
guu.com and kijungu a.k.a mkia a.k.a kishunduuuuu(#jotiiii voice)
skin laini kama mchanga wa bahari
location nzr ya picha

Cute Olive said...

ndio big hair zimekupendeza Nuru Naon shepu.com gauni imetenda haki umependeza Hicho kipochi kizuri nimekiangalia mara mbili mbili

sosoano said...

da nuu asante sana tena sana kwa zawadi
nimeipata japo nusu ichukuliwe na mama yani nikamwambia we ngoja nikakununulie yako Kariakooo ii iache kabisaaa yani ni fulu raha
nimefurahiiii balaaaa
mpk akauliza huyo rafiki yako yuko wapi mbona sijawahi mwona nikamwambia ipo siku utamuona tena siku yenyewe itakuwa ya mie na MJ kufunga pingu
hahahah!!!!!

Irene said...

thats nice pochi nzuri sanaaa

Bintinyota said...

Allah'Akhbar sosoano na ndoa juu!!

hee hii habari ya MJ haitaacha mtu salama.

The Light umetokelezea mwake mwake.
marogooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Watashaaaaaaaaa

comfort said...

Manywere yamekupendeza dear.

NURU THE LIGHT said...

Thank you all wapendwa...
Soso hahahahaah ukataka nyanganywa na mama jamaniii hahahaha MJ kazoo jambo lol karibu sana
Winnie nakuona nakuonaaa
Bintinyota yaani siku nikimuona soso nasal ntaanza kucheka kabla hata hajafungua mdomo hahaahah she is something else..
AM UKO WAPI...Tumekuudhi au basi twaomba msamaha japo hatujui kosa letu mwayaa!