Genuine Nordic Vodka
Thursday, July 13, 2017
And Then came This!!!
Soon mtawekwa kundi moja na Wawest kwa Wizi!
Kwa maana Tanzania ishakuwa flagged as ahigh risk country in insurance fraud sasa mnawasema Wanaija kwanini wakati mko SEAT moja.
Inasikitisha sana kuwa kuna watu mnakuja Nje mnaharibu mambo,mnakuwa wizi,mnasema uwongo,mnawaharibia wengine wengi tu kupata haki yao au kuweza kuja kutafuta maisha!
Kiufupi huyu mama alifake kifo chake ili aweze kupata hela za bima but kwavile nchi yetu ishawekwa kwenye ramani kwa utapeli na Wizi wa bima wakafuatilia na kujua kuwa yuhai na kachukuliwa hatua na kuhukumiwa jela.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Mh kazi ipo jamani chezea ugumu wa maisha
yaani unafoji kitu hiki na unarudi katika nchi yenye system?
why asingejitayarisha na kujimuvuzisha huku kabisa, ingekuwa japo hata ina make sense?
aaaah ametutia aibu sana.
kwa shida gani hasa? kawani haishi? eyy wahala wahala hii kiboko.
Post a Comment