Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, July 20, 2017

Abbby Said!!!
Mtaongea mpaka wanaotaka kutukana watatukana tu ila malipo ni hapa hapa duniani.
Watanzania au niseme baadhi hii mitandao ndio wameifanya sehemu ya kutolea stress zao na chuki so hawana tena busara au huruma hata upatwe na missa kwani kwao ni sherehe vile wewe pale utakapoumia and that is what has happened to this lady akipatwa na janga ndio time ya wanaflani kutoa yao ya moyoni.
Personally nilijifunza kwenye kifo cha Herry how People behaved na matukio mengine so sishangai tena Bali nawasikitikia kwani siku shida ikiwagongea ndio watajifunza.
Vitu vingine havihitaji hata masters it is just as simple as common sense.
Kuna vitu sisi sote tutapitia so kucheka kwa mwenzako ni kujitakia laana tuu.


Watoto wa marehemu siku chache kabla ya mama yao kufariki,Rip!

1 comment:

sosoano said...

R.I.P mama Zari
kwa kweli da nuu umeongea vyote + Plus Abby
watz tunajisahau