Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, June 1, 2017

ZARI AONGEA MENGI NA KUJIBU MASWALI!!!

Umeongea Dada tena vizuri tuu.,
People waanze kujielimisha kuhusu high blood pressure ni kitu kibaya na kinadhuru mno yaani kilichomtokea Ivan is the same thing kama Uncle Sam wetu sema daktari wa huku walisema hawatomfanyia operesheni ni hatari maana damu ilikuwa nyingi sana kwenye brain wakasema it Will heal on itself ila The main focus mwanzoni ilikuwa kudeal na kushusha The high blood pressure Then mengine yakafuata.
Stroke si kitu cha kukichukulia so Lightly kwani hata marehemu angesurvive asingekuwa 100percent kwani Unclewetu yuhai but he Will never be The same Bali Mungu akitenda miujiza yake hutenda kwani mpaka Leo hii tuko nae bega kwa bega.
Millard ayo tv

7 comments:

Anonymous said...

Mie na shoga angu tumetoka mkoa mmoja. umri 50 alipo kuja Europe nilimpokea na a kaolewa akiwa kwangu. Ametoka kazini
Maelezo ya daktari
akasema kichwa kinamuuma sana AKAPIGA ambulance. Alipofika hospital akawa hoi amepata Stroke. Leo ni miezi zaid ya 5 yuko ktk koma hajui mtu wala nini. Anageuza macho tu. Da Mungu Tunusuru na Maradhi mazito

Anonymous said...

Mmmh poleni sana. Tatizo WA afrika hatuna culture ya kufanya regular checkups. MTU mpaka uoze ndo unakimbia hospital by then its too late. So sad. I wish your friend a quick recovery

Anonymous said...

Zari is well spoken n full of wisdom. Shell be sitting on some serious cash for the rest of her life. Beautiful Lady, her and her kids will be fine

mischa said...

Awareness is the key,Africans be kalogwa au sumu.
Kumbe ni vitu vya kuelewa vipo na saa zingine ni hereditary.

anonymus said...

Halafu watu wanashabikia habari za uzushi utafikiri wanaishi karne ngapi? Nyuma...akifariki mtu mpaka vizushwe vitu vya ajabu hadi kero..!waliozusha kanumba hajafa sasa hivi sijui wanazungumza nini?wakati mwengine mi nasemaga hata huyu kiongozi Mungu Amemleta sababu Ameona anaendana na hali zetu za kitabia..ni adhabu hii tunapewa inabidi tujirekebishe.mwamini

Cute Olive said...

Asante Zari yani sijui nisemeje ila nimefurahi kusikia kutoka kwako. Stroke ni mbaya sana Mwenyezi Mungu tuepushe na magonjwa.

Anonymous said...

So sad wanavyomsema marehemu