Woooww hongera Serena Williams. The twins are here am so happy for Bey and Jay Z. Napenda twins, Mungu anisaidie cku moja nipate twins Hongera Lulu umejibu kwa busara na hekima. Hongera pia kwa kuongeza elimu. Beauty with brain
hongera kwao bey&jayz lulu umeongea point, fanyia kazi faiza hahahahah!!! umeniacha hoi kwa kweli, serena hongera kwa kuwa mama kijacho, Mungu akuwezeshe ujifungue salama, alikiba please rudi tu
4 comments:
Woooww hongera Serena Williams.
The twins are here am so happy for Bey and Jay Z. Napenda twins, Mungu anisaidie cku moja nipate twins
Hongera Lulu umejibu kwa busara na hekima. Hongera pia kwa kuongeza elimu. Beauty with brain
hongera kwao bey&jayz
lulu umeongea point, fanyia kazi
faiza hahahahah!!! umeniacha hoi kwa kweli,
serena hongera kwa kuwa mama kijacho, Mungu akuwezeshe ujifungue salama,
alikiba please rudi tu
Hadi raha Beyonce twins wana raha yake hongereni wazazi.
Namuunga mkono Faiza hata mimi ni baba kwa mtoto wangu.
Loulou nakupenda bure
ha ha ya Faiza mie hoiiii nimeipenda sanaaa
Post a Comment