Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, June 18, 2017

THE SAGA OF OMEGA MWAIKAMBO!!!

Swali langu linajirudia ni Kwanini, Kwanini, Kwanini?
Kwanini ufungue begi ambalo lina maiti na kutaka au kulipiga kumpiga picha maiti?
Mtu kama haheshim maiti huyo ni Normal kweli?
And The unapost Facebook?
Ila sishangai maana mlikuwa mnataka kuona jeneza la Ivan as if anawahusu aisee Mtu akifa mko fasta kusambaza mapicha za maiti bila aibu Kias huyu kaka aone si kitu kibaya maana wale watoto wanafunzi wa st Vincent mpaka wazazi walikuwa wakiwaomba  muwastiri lakin wapi mijitu inapost tu...
Kuna vitu jamani tuvipe heshima na tujaribu kustiri maiti kwani hawawezi jitetea tena that is The least we can do.

5 comments:

Totoo said...

Wangekuja na Tz maana huku ndio hatuna heshima kabisaaa na marehemu. Nakumbuka kuna kwaya ilikuja kutoka Kenya wakapata ajali maeneo ya Korogwe. Watu badala ya kusaidia wakawa wanawasachi majeruhii. Jamani wakenya wale walilalamika had I aibuu. We seriously need to change.

sosoano said...

yani nimecheka bada ya kuona,
huyo ndio mtanzania wa leo,
na hapa nimejifunza kitu kuwa kuishi ulaya au kuzaliwa kule hakukubadilishi uswahili wako ndio huyu sasa
yani ni aibu kwa taifa letu
da nuu m najaribu kutafakari hivi unaanzaje kwenda kufungua begi lenye maiti ndani kisa kupiga picha serioussssssssssssssssssss!!!!!!!!!!! mmmhhh!!
kwa kweli sio mzima huyu wampime akili kwanza

comfort said...

Afadhali wakiwa wanafungwa hivyo na wengine watajifunza.Tabia mbaya sana hii.

Irene said...

Watanzania tuna Shida Mtu Ana Fanya mambo Kama mwendawazimu bila kujali privacy ya marehemu hii sharia iwe strong IPA tanzania

Cute Olive said...

Alafu mtu mzima anakaribia uzee anakosa busara akamatwe tu kwakweli. inakera sana mtu kupost picha za maiti yani mi nikionaga naruka haraka mana huwa sipendi kuangali mana saa ingine inakupa mawazo ambayo hata hukuwa nayo.