Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, June 4, 2017

Sometimes LiFe is So Unfair!!!


Huyu Dada wa kizungu alikuwa kaolewa na huyo kaka wa kinigeria na hapa ni dukani kwa Huyu kaka.,
Wana mtoto huyo aliye kwenye wagon na ana autism na Huyu mama wa kizungu anarudia sentesi over and over again kwanini mlimfungia mtoto dukani wakati ni mgonjwa je kitu kingemtokea?
Kwa sasa ana mke kutoka kwao Nigeria ndiye anayechukua hii video.,
Hili mnaloliona hapa si kitu kigeni kwangu na zamani kaka zetu walikuwa wakiwafanyia hivi wazungu lakin sasa hata dada zao wanawafanyia hivi hiv.,
Ila kwenye comment section nimependa wengi wamempa ukweli Huyu kaka aisee Dhulma na Uwongo ni vita vibaya sana especially ukimfanyia binaadam mwenzako
Sometimes mtu anafanya kitu anajua kabisa anachokifanya halafu laana zikimpata anaanza OH Mungu kumbe ulitandika kitanda chako mwenyewe sasa kilalie..
Kuna watu watakuja maishani mwako wakiwa na Agenda zao since Day one wapendwa so be careful kwani si kila anayekwambia maneno matam basi ana Nia nzuri na wewe.,
Kwa dada mzungu Mungu atakulipia hapahapa duniani maana machozi yako na ya mtoto wako hayatoenda bure..,

2 comments:

Anonymous said...

Some Black man....heartless,
Tukiongea ukweli binadamu hatuko wa kamili fu ila kaka zetu...Mila alozitumia kwa mdada wa kwao.

Anonymous said...

Pole sana mama ipo siku ataja kukumbuka aliyokufanyia itakuwa zamu yake kulia.