Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, June 13, 2017

SEIN!!!

1 comment:

sosoano said...

da nuu naomba leo niongeee kdg kuhusu hz makeup
wadada na mabinti wa siku hz wanapenda sana kuji-makeup mpk basi sio kwamba wanapaka vby NO!

mfano wewe da nuu mie nimekuchunguza kwa muda mrefu sana, nimegundua hupendi makeup mara kwa mara na sometimes picha zako unapiga ukiwa free makeup na ndio mana huzeekii mapema,

let go to beyonce, rihanna, etc ukiwacheki wao makeup wanafanya kwa ajili ya kuuza brand zao, ila ukija kwa uhalisi wa life yao mara nyng wanapaka simpo makeup ambayo sio mbaya

sasa njoo kwa watu wetu uku africa kila mtu siku hz akiamka ana makeup usoni, haendi popote makeup usoni, anaenda msibani makeup usoni, kwenye events ndio anajikandika makeup kuanzia stageeeeeeeeeeeeeeee 5 mpk 10, akiwa bi harusi waweza msahau kama n yy,

na hii ndio sababu wakija kutoa makeup wanaonekana kama wazee, vibibi si vibibi, vikongwe si vikongwe, sasa usiombe uwe na sura nzito ndio tutakukimbia

da nuu we chunguza wadd wengi siku hawapendi kuwa free makeup,
ndio mana siku hz unaweza muona mtu ukampa na shikamoo coz of makeup mana ni wakubwa afu ukiulizia unaambiwa huyo ni mtt wa 90 na kituuuuuuuuuuuuuu,

#pakamakeupkwasababumaalum
#nimepumzika
#nitakujasikuingne
#nimtazamotu