Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, June 6, 2017

Pumzika kwa Amani Mzee Ndesamburo!!!

Moshi,Arusha na Tanzania kwa ujumla imekuzika Baba
Watu wamekuja kupay their last respect kwa mioyo yao yote kiukweli ungeamka hata dakika moja tu ili uone Mapenzi na Heshma ulopewa Baba,May you rest in peace!!

2 comments: