Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, June 11, 2017

ON TO OTHER ISHHH!!!

Nyie wote wawili mkiamua kubadilika na kuwapa watu Positive  Images Trust me Maisha yenu yatabadilika for The better.
Mmekuwa mkilishwa negativty because of what you give out to The society na kama Wema its like bado tu mpendwa hujajifunza that anayeumia mwishoni ni wewe na sio Wao.
Gigy sifa yako Kubwa ni kukaa ukiongelea wanaume ulokutana nao kimwili unategemea watu wasikuite hilo neNO?
Kama unataka watu wakuheshim anza kujithamini,kujipenda na kujiheshim wewe kwanza and trust me The rest Will follow.
You both want validation and love from People but dont let that be your downfall.
Umaarufu ni mzigo Yes but wote Nyie mna Power Kubwa sana juu ya Maisha yenu na mkiamua basi hayo Matusi na The negative energy vyote vitaisha ila Maamuzi ni yenu so is The power. .
You both have been giving People too much power over your lives so Claim it back by making a Change na kumbukeni A Change dont Come Easy it takes Discipline,Determination and hardwork!!

4 comments:

unknown said...

gg respect is earned sijui kama anafahamu hilo na wema ulishawapa watu funguo za maisha yako mpaka uwe tena na maisha binafsi utatumia nguvu nyingi sana.... .therez so much power in a private life jamani na ni muhimu pia yako yanakua yako na mtu lazma hakuheshimu coz hana analojua juu yako......change wadada mtaheshimika siku mkianza kujiheshimu

sosoano said...

u said it all da nuu
its true
kama wanasomaga blog yako wakifuata ushauri wako basi mambo yatakaa sawa

Bintinyota said...

sina lakuongezea The Light.

Yaani kama Wema, jinsi tunavyompenda na anavyotuangushaga
she has all the reason to be some1 better!! aamue tu kwa moyo mmoja.

wema you still have chances use them for good.
use social media for good and you'll be taken different.

Irene said...

respect is earned haipatikani freely hivyooo so wajipange na wajiulize