THE MENU IS CALLED TAPAS,TAPAS,TAPAS!!!
Wenzetu wahispania wanakitu kinaitwa Tapas meaning small dishes kwahiyo unakula vitu vingi tofauti kwa wakati mmoja but in small portions.
7 comments:
Totoo
said...
Napenda casual wear zako. Zinakutendea haki. Hapo kwenye msosi daahh unaleta njaa tuu
da nuu umependeza kama kawaida yako na pia nimependa hiyo mandhari ya ukijani yani n mtamu kwa kulala hapo na kupigia picha picha ni mvuto tu hakuna kingne
Hahahhaha Totoo tholly.. Mischa thank you nlikuwa sijui Leezy ahsante wenzetu kwenye usafi na kujali sehem kama hizi wako vzuri Thank you cute.. Cintea Thank u soon na wewe utapiga chuichui yako iko njianiiii,
7 comments:
Napenda casual wear zako. Zinakutendea haki. Hapo kwenye msosi daahh unaleta njaa tuu
Tapas yummy
Bongo kuna restaurant inaserve Tapas,inaitwa Veranda Tapas lovely meals.
da nuu umependeza kama kawaida yako
na pia nimependa hiyo mandhari ya ukijani yani n mtamu kwa kulala hapo na kupigia picha
picha ni mvuto tu hakuna kingne
pendeza sana Nuru hiyo chuichui imeleta kitu amazing kwenye muonekano wako haswa hiyo picha uliyojitanda.
TAPAS yani umenitoa mate asubuhi yote hiii
Beautiful colors zimekupendeza...CinTea
Hahahhaha Totoo tholly..
Mischa thank you nlikuwa sijui
Leezy ahsante wenzetu kwenye usafi na kujali sehem kama hizi wako vzuri
Thank you cute..
Cintea Thank u soon na wewe utapiga chuichui yako iko njianiiii,
da nuu hizo za kijani si pilipili au nini jmn?
Post a Comment