Kwanza nafurahaa,nitaimba na kucheza,washa mishumaa weke kaki juu ya meza
Na Kapicha kako nitakapost,wasokupenda Itawacost hahahaahah happy birthday to youuu!!!
Ila usisahau kusema ahsante kwa baba na mama walokulea na ukakua...
Kata keki kataaaa,kataaaa...
Cut The Cake Auntyyyyy...,
Mommy Dearest,,
Brother Juce..,
Brother Mikey Mike,,,
Sister Inlaw...
Beshte angu toka Sankaraaaaa...,
Shem akeeeeee...
MY MJ,,,
A.K.A EL CHAPO,A.K.A SHARU KHAAAAAN...
My Kidbrother Dreidel..,
Mr And Mrs..,
Baby Unamiss,,hutu kwetu full Rahaaaaa!
MJOMBA TORRES KAINGIA UWANJANI..,
7 comments:
that was so amazing party you were happy like hell all the photo you were smiling like a kid have seen a chocolate
my dear you look happy beyond words, handups for your fashion mana unajua kujilipua haswaaaa. Devota kwakweli kapendeza maaana long time since blog ya enzi hizzoooo na Nuru
Hongera sana Nuru. Birthday party ilipendeza sana pia ulitokelezea sn. Namuona MJ namuona hahahaha.
Mungu aendelee kukutunza daima mpendwa.
Party ilinoga kwakwel natamaniiiii.Hongereni wote jaman.
You looked fantastic and enjoyed yourself
Massive vibes and a lovin The theme
People looked happy and great aswell
Happy birthday love I cant wait to see You soon
Party Ilinogajee
Ilinoga sana Nuru. nimefurahi kumuona Devota mpe hi!
Post a Comment