Yarabii Nakuomba .Nakusujudia na nitaendelea kukuomba mpk mwisho wa pumzi yangu.na waongo za wanangu na wewe uwe mwongozo wangu. U wabariki katika mema ya dunia na akheri . Hapo alipo usitusogeze. Na yeye mwongozo pia . Huwenda hajui wapi na nini afanyacho. Mpk leo huna hata kibanda. Umetolewa haya hata mnyama anaogopa binadamu . WEWE HUOGOPI CHOCHOTE. UMENITOA THAMANI HATA YA MNYAMA IKO JUU siungesimama kivingine mdogo wangu Mshamba uzuri si sababu ya kuwa na mzungu . Msie washamba na wazungu mie nione namwona kama mtu wa kawaida ni rangi tu.
4 comments:
Mmmmmmmmmmh!
Yarabii Nakuomba .Nakusujudia na nitaendelea kukuomba mpk mwisho wa pumzi yangu.na waongo za wanangu na wewe uwe mwongozo wangu.
U wabariki katika mema ya dunia na akheri . Hapo alipo usitusogeze. Na yeye mwongozo pia . Huwenda hajui wapi na nini afanyacho.
Mpk leo huna hata kibanda.
Umetolewa haya hata mnyama anaogopa binadamu .
WEWE HUOGOPI CHOCHOTE.
UMENITOA THAMANI HATA YA MNYAMA IKO JUU
siungesimama kivingine mdogo wangu
Mshamba uzuri si sababu ya kuwa na mzungu .
Msie washamba na wazungu mie nione namwona kama mtu wa kawaida ni rangi tu.
attention seeker
Giggy ni shida mwanawane!mwamini
Post a Comment