Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, June 21, 2017

Kizuri Kula Na Wenzako!!!
Wengi wenu mnapenda handbags kama mimi Na wengine mmecoment kuwa hamtakuja kuvaa a Designer handbag kwavile ni very expensive sasa hapo ndipo mnakosea Na nitawajibu kwanini.
Yes Designer handbags dont Come cheap but hata wao wana variety ya vitu Na sizes tofauti so tafuta kile utakachoweza wewe kwa wakati wako na uwezo wako.
Kingine kuna bags ni seasonal Na kuna bags ni classic ambayo utaivaa hata miaka 20 ijayo Na still utapendeza.
Cha tatu jamani Online kuna option nyingi na sales.Na kama wewe una mda na hodari kuna watu wanauzaga mabeg hata hawajayatumia mda but maybe wanashida ya hela Na Ebay ni mtandao mkubwa watu wanauza designer stuff all The Times ila kuwa makini uombe risiti always hiyo ndio security yako.

Cha nne jamani msidharau mitumba hapo hapo Bongoland kwani mitumba huja Na vitu authentic kabisa Na wauzaji Wengi hawajui so mimi nishawahi nunua kariakoo mabegi mawili Na yalikuwa original kabisa tena nimekazana kubargain macho makavu ananiambia dada we si ndo umeimba ile nyimbo nikamjibu mieee walaa sasa unanidai shilingi ngapii banaa hahaha haha maana ningesema ndio angeniongezea bei...
 MitumbaNi hupati mapochi tu hata nguo,wallets Na vinginevyo.
Mitumba lazma wewe uwe mvumilivu Na uwe Na mda.
Kingine sio uko pale halaf unaanza jishtukia jiachieeeee💃💃
Kama una jicho Na hodari mitumbani unapata vitu vizuri tu.
Na sasa hivi maduka mengi tu yana handbag nzuri kama Zara,Mango,River Island,Top shop,H&M and Aldo unajipatia handbag yako kwa raha zako.

5 comments:

comfort said...

Asante Nuru

Irene said...

kwakweli mtumbani kuna mambo mazuri ila kitokee kitu cha desinger hapo sokoni mwaeza vunjana mbavu kwa kugombania. ila nadhani mtu ukishahisi its design staff twaanza make image kwamba its expensive staffs na ukitembelea page zawaouza bidhaa hapa bongo kila unachogusa ukiuliza bei wawaza matofali mangapi wanunua.
Thanks love maana hata mtu kama weye kutupa hope ya haya mambo inataka inner heart ya upendo and not faking thanks again

NURU THE LIGHT said...

Cha kwanza kabisa bongo hakuna duka linauza authentic designer bags they are all copies..cha kwanza na cha pili sijui kwanini wanaongeza bei kihivyo maybe wanalipa ushuru mkubwa sana ndiomaana sina elimu ya hiyo biashara lkn ningependa litokee hata moja liuze na kama lipo na mimi silifahamu naomba nielimishwe
Yes Irene i feel you na tuko pamojah

anonymus said...

Mi nilipata lv handbag mwanza kwa 30000 kwa machinga yaani iko vzr ,sikuamini!mwamini

mamaake johnson said...

ila nuru unajua bwana kuchagua uwi kila handbag ipo vizuri nimependa nywele yako hiyo ya crochet