Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, June 7, 2017

And Then Came Ushauri!!!6 comments:

Mischa said...

Hahahaha I cant sio kwa ushauri nasaha huo,kaficha kisado kwenye mashavu hahahahah

Irene said...

ha ha some people are total craiz yani haya mambo uyapeleke kwenye mitandao haswaaaaa

Anonymous said...

I laughed out loud kwenye comment ya mashavu, but in all honesty does a man have to do everything for you kama basics anafanya? Kwa dunia ya leo maisha yamekua magumu to leave all the burdens kwa kipato kimmoja ifike mahali tuwaonee huruma wanaume tena yule anaeijali familia vizuriii

anonymus said...

Yaani huyu dada na hizo comments unaona kabisa watanzania wamevurugwa wallah!mwamini

Cute Olive said...

hahahaah jamani duh nimecheka hizo comment! hivi ukae nyumbani usubirie kuletewa tu huyo bwana hachokiiii?

SUZANA ANORD said...

hahhahah!!!!!!!!!! siku hiz watu wamepinda kuanzia ndani had nje mana sio kwa maneno haya
hahahhahahha!!!!!!!!! bongo noma