Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, May 30, 2017

ZARI SAID!!!

Kwenye Maisha na mda ukiwa sahihi basi utajua nani ni mkweli na nani sio.,
Kuna watakao jifanya wanajali na wanaojali kiukweli.,
Lakini Pia katika ulimwengu huu kitakachogonga mlangoni kwangu ipo siku kitagonga mlangoni kwako pia kama sio Leo basi kesho!

3 comments:

comfort said...

Sure

Anonymous said...

That's true !
Ila tu kumbuka tusingojee huo muda wa kumjua nani mwema na nani mbaya .
Tuishi kwa kujua kuna wabaya na wazuri duniani na hatutaumia .
Tusiumizwe na watu tumie na yetu .
Tunajyana machoni na kushindana ila sio Rohoni.
Hutokea hata alokuzaa au ulomzaa mkageukana "
Sembuse wanaadamu

Cute Olive said...

especially wakati wa shida utajua huyu nani yule nani!