Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, May 7, 2017

Yaliyojiri!!!
AT Times ni vizuri mtu ujiongelee wewe kama wewe.,,
Kuna wanaume  descent bana usitake kulazimisha mambo kwani ni kama wale ohh kwani mume wa mtu anaibiwa jamani ili wajastify maovu yao but The fact remains kuwa kama wewe hujiheshim na unataka kutembeza kila sehemu The least you can do is owning up to it yaani kukubali na sio kuingiza kila mwanaume kwani magay wanataka wanawake,Ovyoooo!!
Statements nyengine ukimsikia mtu anazikomalia na kuingiza watu basi jua kuwa anataka tu apewe ok na kile anachokifanya point blank period!

3 comments:

SUZANA ANORD said...

true da nuu
ningekuwa mie mkewe aiseee hio siku ningeenda jimu kubeba vyuma then narudi nina misuli ya serena williams afu anakula kichapo kwelikweli
mana hawez jitangaza hadharani kuwa ana mchepuko
hahahahha!!!!
ila nahisi anatafuta kiki pamoja na huyo dogo janja

Anonymous said...

Its his opinion and like assholes, everybody has one, and they all stink.

Anonymous said...

I feel very sorry for his woman/women.
At least now no one can say they didn't know how he really is!
Na ye asiombe ampende atakayemtenda hayahaya.