yani da nuu nilitaka kuandika kile ulichoandika hapo chini mana nilivyomaliza kusoma tu jibu likaja kama lako huyu kaka anataka kiki kuonekana mwenye majonzi kuliko zari na watt wake mfyuuuu!!!!!!! kaniboa sasa alitaka Dai aandike nini zaid ya hicho, heri amekuwa muwazi kuliko angeandika maneno mengi ya kumsifia wakat hatujawahi mwona hata siku moja kapiga nae picha au kuongea nae pole zari mwaya
4 comments:
Watu jamani.kwa nini mtu mpangie mwenzio chakufanya?
sitaki kuongea mengi Jack kitenge kimenoga haswaaaaaa umependeza.
Ni wakati mgumu sana kwa Diamond, Zari, Watoto na familia nzima ila yote yatapita Mungu awatie nguvu kwakweli mana kila anayeamka anasema yake.
yani da nuu nilitaka kuandika kile ulichoandika hapo chini mana nilivyomaliza kusoma tu jibu likaja kama lako
huyu kaka anataka kiki kuonekana mwenye majonzi kuliko zari na watt wake
mfyuuuu!!!!!!! kaniboa
sasa alitaka Dai aandike nini zaid ya hicho, heri amekuwa muwazi kuliko angeandika maneno mengi ya kumsifia wakat hatujawahi mwona hata siku moja kapiga nae picha au kuongea nae
pole zari mwaya
hhmmm!!! wolper naye shida tupu ameamua kuyatafsiri maneno yake
hahahhahah!!! hana jipya yuda
mbasha naogopa mana hakuna anayemtaka kulea libaba
Post a Comment