Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, May 24, 2017

YALIYOJIRI!!!

 JAKAYA NA SAMATTA.



JAMANI IS THIS FOR REAL,..
HE IS A NATIONAL TREASURE HALAFU TUMEMTUPA HIVI DAH IMENIUMA SANA KUJUA HILI IF IT IS TRUE
TUSAMEHE SANA BABA..,

3 comments:

sosoano said...

1. msando amefanya vyema kujiuzulu
2. kwa kweli atusamehe maana tumejisahau kabisaaaaa
3. samatta na kikwete wamependeza, ila wasije mtumia afu wakamfilisi wakamuacha mtt wa watu jmn mana hii nch ni majanga

irene said...

kweli ama ni vipi ila kwa upande wangu sijawai msikia akiongolewa popote pale

Anonymous said...

Albert G Msand.
Nimekuweka kujiuzuru kwako ila jamani POMBE WANYWAJI KUNYENI KWA VIPIMO.
WATUMIAJ SIMU NAO WANARECOD NA KURUSHA HEWANI HATA VISIVYO STAHILI. NIMEIONA VIDEO YOUTUBE DA UTADHAN STRIP.....

BABU KATIKA URUMAA.HII NDO AFRIKA Au Tz UMIHIMU WAKO NA MSAADA NI PALE UNAPOHITAJIKA.
WENGI WALITUMIKIA TAIFA AU CCM NA WAMEKUFA FUKARA .
WALE WANAOBABWA KAMA MAKONDA WANAKUFANYA MATAJIRI KWA SIFA TU .