kusema kweli now days wadada wanapata watoto wakihope for Good life kwa wahusika pale wanapoya kosa wanarudi tena kubahatisha wengine . kwa mtu anayejitambua hawezi fanya huu ujinga kamwe its rit moment serikali waingize somo la kujitambua mshuleni..............
kwa kweli hana nidhamu hata nukta huwez kuwa mzazi wa mtt wa miez 6 afu uko club unajiachia ni ujinga na upumbavu tena ni kukosa maadili from wazazi ningekuwa n yang D ningemzaba vibao kwa kumuacha mtt na hausigel shh..................yyyyyyyyyyy kabisaaaaa yani nilitamani niiingie kwa youtube nimzabue kdg afu eti tuko sawa tu ndio mana wanasema think before u act, da nuu ameniboa kweli huyu binti
5 comments:
Sijui ni pombe me hata sielewi.kuna watu wanapata watoto kwa bahati mbaya sijui au ndy umri sijui lo!Mungu amsimamie Tamari.
waaaaah 6 months and she is clubbing?????? uiii jamani jamani I feel sorry for the kid, sio baba sio mama! what the fu**!!!! loooh
Shoga wa Suzan ushauri kapewa kashindwa kuutekeleza sasa tumwache na yake
kusema kweli now days wadada wanapata watoto wakihope for Good life kwa wahusika pale wanapoya kosa wanarudi tena kubahatisha wengine . kwa mtu anayejitambua hawezi fanya huu ujinga kamwe its rit moment serikali waingize somo la kujitambua mshuleni..............
kwa kweli hana nidhamu hata nukta huwez kuwa mzazi wa mtt wa miez 6 afu uko club unajiachia
ni ujinga na upumbavu tena ni kukosa maadili from wazazi
ningekuwa n yang D ningemzaba vibao kwa kumuacha mtt na hausigel
shh..................yyyyyyyyyyy kabisaaaaa yani nilitamani niiingie kwa youtube nimzabue kdg
afu eti tuko sawa tu
ndio mana wanasema think before u act,
da nuu ameniboa kweli huyu binti
Post a Comment