irene yuko simpo sana hadi raha ila seven huwa nashindwa kuelewa ngozi ya sura yake ina shida gani na kwenda ulaya kote ameshindwa kuihudumia ngozi yake ila nampenda yuko bize na kazi zake
Susan kuna wakati lazma uwe compassionate na kitu mwenzako hawezi kukifix for example a skin condition ni kitu huwezi ficha na unaweza kuta her condition iko very Hard kukitreat instead njoo na idea au solution mpenzi o just show compassion and yes Seven is a hardworker tena mno kwa hilo umepatia
Mtu ambaye hajakaa ulaya huwa ni mwepesi sana wa kujisemea mambo asiyoyajua kuna watu wengine wanajikubali kama walivyo jinsi anavyoonekana na watu sio priority. Seal ana makovu makubwa usoni na ana hela ndefu he can do anything but chose to be as he is. Namfahamu Seven wala nikukutana naye hata hiyo hitilafu siioni hujafa hujaumbika Dada Suzana...CinTea
4 comments:
irene yuko simpo sana hadi raha
ila seven huwa nashindwa kuelewa ngozi ya sura yake ina shida gani
na kwenda ulaya kote ameshindwa kuihudumia ngozi yake
ila nampenda yuko bize na kazi zake
Susan kuna wakati lazma uwe compassionate na kitu mwenzako hawezi kukifix for example a skin condition ni kitu huwezi ficha na unaweza kuta her condition iko very Hard kukitreat instead njoo na idea au solution mpenzi o just show compassion and yes Seven is a hardworker tena mno kwa hilo umepatia
Mtu ambaye hajakaa ulaya huwa ni mwepesi sana wa kujisemea mambo asiyoyajua kuna watu wengine wanajikubali kama walivyo jinsi anavyoonekana na watu sio priority. Seal ana makovu makubwa usoni na ana hela ndefu he can do anything but chose to be as he is. Namfahamu Seven wala nikukutana naye hata hiyo hitilafu siioni hujafa hujaumbika Dada Suzana...CinTea
asante wote kwa majibu ila sikuwa na nia mbaya
na mie sio mtaalamu wa mambo ya ngozi
Post a Comment