Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, May 21, 2017

Thank You Mo Music For Being An Inspiration To Many!!!


Si wasanii wengi hujishusha kwa mimi binafsi sioni hivyo  ila kwa wengi angekutwa hivi asingependa.
Hii si kwa wanaojulikana tu hata baadhi ya watu anakwambia yaani mimi niwe mamma ntilie loooh yet anataka The finer things inlife!
Here we have a young man anayejitambua tena mno kwa kujituma bila kujali ya watu.
Niwape Pia pongezi wazazi wake kwani kwanza wamemjengea misingi na wamempa mafunzo kuhusu maisha,You se inlife lazima uwe na malengo na mwelekeo but also a plan b To fall back on incase things do not go as planned.
Wazazi wamemjengea misingi na yeye anaitumia vizuri na akiitumia vizuri zaidi hata wajukuu zake watafaidika na hili,Big up Mo Music!!!

1 comment:

SUZANA ANORD said...

mwambie aje tuanze maisha mana nimempenda bureeee
da nuu fikisha u ujumbe