Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, May 18, 2017

TBT,THE RED RIBBON GALA!!!Thank you My Sarah and I miss you too umenikumbusha Mbali hii siku nilienjoy sana.
Siri yetu huu usiku mpaka Leo only we know hihihi..
The cause was god natt mpaka Leo Khadija Mwanamboka analea hawa watoto.
Kuna watu walikuwa na mbwembwe huu usiku unakumbuka Sarah hahaha kweli mda hutufunza mengi na wamejionea.
Ishi na watu vizuri always especially The ones that knows your value na wanakuappreciate.

5 comments:

Irene said...

mlitokelezea sana nampenda sana huyo mdada

Cute Olive said...

TBT ya nguvu nampendaga sana huyo dada

Anonymous said...

Sarah is soo cool

comfort said...

Nuru nahic kama unapenda chuichui kama mimi.mlipendeza sana.

SUZANA ANORD said...

watu wametoka mbali jmn
sarah alikuwa kadg
martin ndio usiseme kahh!!
da nuu yeye ndio english figa jmn
comfort uko sahihi da nuu anapenda chuichui na zinampendeza kweli