Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, May 11, 2017

Yaliyojiri!!
 So sad yaani wapendwa tizameni na kuweni makini kwani mijitu mingine hii ni mashetan tu yamevikwa ngozi za kibinaadam wallahi mtu ulikuwa unamuita baby Leo anakuchoma moto!!,
 Kweli Moni tunaishi nao maana hata waliokuteka unfortunatly wako free na bado tunaishi nao,.Sad!
Nawagawaaaaaaaaaaa haha😂😂😂😆😆

1 comment:

Anonymous said...

Mwakyembe namwambia nini Mrisho Mpoto ambaye muziki wake ni purely politcs, what about Bob Marley kweli alikuwa kanywa pombe ya kwao kimpumu tena kilicho chacha nonesense "excuse my french" ..CinTea