Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, May 22, 2017

PAUL MAKONDA HAS SPOKEN!!!Hivi ushawahi mfumania bwana ako akiwa kitandani akikatikiwa na Dem flani amaizing na wakati anafanyiwa kitendo hicho cha kukatikiwa anapewa maneno matam na bwana ako anajibu tu yes baby yes this is your muhogo baby ni wewe tu halafu anashtukizia umemkata utam by kumvuta wigi au weaving ya dem na kumburuza halafu yy ukiivuta ndizi yake huku akikuambia nakusema ni shetani tu alinipitia ni pepoooo😆😂😂😂 basi that sums upp this interview!
Kuna wakati kukaa kimya ni bora na kuendelea kufanya kazi zako kuliko kuongea!!

6 comments:

Anonymous said...

Nuru umepinda hahahahahah

Anonymous said...

Makonda ni masikini alopata madaraka bila kutegemea . Amepata mengi na ndo anayojifanya kulipiza kwa watu.
Hanithi tu ameongea cheo dhamani ya kuwa umia watu. Ndo maana wa namwambia ni bi mdogo kwa alomuweka madarakani.
(Boraangezakiwajikekulikodumejinga)

Mwahhy said...

Huo mfano tu hahahaha kwann lkn Nuru hahaaha

Anonymous said...

Hahahahahahahaaa Nuru wewe sio mzima, huko sio kupinda ni kunyongorotoka. Winnie

Anonymous said...

Nuru umevuta cha Arusha au������. Hakya nani umevurugwaaa na DAB!

Bintinyota said...

Yaani nimechekaaa
Hii ngoma Bachan!!!