hahahhaha!!!! irene umechekesha kweli dawa ni mazoez na kula vzr ila kama una sura kama ya koko(khloe kardashian) itaonyesha tu kuwa umeshaacha njia siku nyng ila kama una sura ya akina kim na kendall unazeeka ila unakuwa hauonyeshi sana but ukiwa na magonjwa ndio wazeeeeekaaaaa mpk basi so ni muhimu kula vyakula vyenye kujenga na kulinda mwili ili kuzuia magonjwa mbali2 + mazoezi mi nilikuwa na plan ya kununua vifaa vya mazoez ila ndio ndoto zangu zimekatishwa mana sijui hata ya ajira yangu
si unamuona wema, anaonekana mkubwa coz of mwili na sura nayo imenenepa ila akifanya mazoez akapungua na kuwa na umbo dogo kiasi na sura nayo itakuwa nzr mana hana ile sura ya kukomaaaaa mie,,,,,,,
5 comments:
They look perfect, Natamani huyu ndo angekua baba twins
Hadi raha
jmn Jlo hazeeki kahhh!!!!
hongera zake
da nuu mfikishie
kha hiyo dawa anatumia kutozoeka nami naitaka
hahahhaha!!!! irene umechekesha kweli
dawa ni mazoez na kula vzr ila kama una sura kama ya koko(khloe kardashian) itaonyesha tu kuwa umeshaacha njia siku nyng
ila kama una sura ya akina kim na kendall unazeeka ila unakuwa hauonyeshi sana
but ukiwa na magonjwa ndio wazeeeeekaaaaa mpk basi
so ni muhimu kula vyakula vyenye kujenga na kulinda mwili ili kuzuia magonjwa mbali2 + mazoezi
mi nilikuwa na plan ya kununua vifaa vya mazoez ila ndio ndoto zangu zimekatishwa mana sijui hata ya ajira yangu
si unamuona wema, anaonekana mkubwa coz of mwili na sura nayo imenenepa ila akifanya mazoez akapungua na kuwa na umbo dogo kiasi na sura nayo itakuwa nzr mana hana ile sura ya kukomaaaaa mie,,,,,,,
so unene nao unachangia mtu kuonekana mzeee
Post a Comment