Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, May 5, 2017

I HEART ๐Ÿ’œ๐Ÿ’œTHE HAIRCUT!!!

JACQUELINE.,
JNM.,
NANCY SUMARI.,
MILLEN MAGESE.,
NILER BENARD
MIRIAM ODEMBA

HERZIEHT PAUL.,
IRENE KIWIA

KAJALA.,

WEMA SEPETU.,

6 comments:

SUZANA ANORD said...

kwa kweli ni wzuri sana

comfort said...

Nice

Anonymous said...

Sijui ni jaribu na mie .
Millennium na Mrs Mengi ndo namba moja ktk picha zote.
Wolper moja na Nusu ila acha kutia rangi nyeupe haina mvu to.

Nancy na Herzieht nawaweka namba
mbiliMiler na Iren nawapa 3

Kajala nywele fupi zinajupendeza ila mwili nao umeharibu picha. Umejiachia kaa mimi .

Wema kipindi changu leo nakuacha hujachukia ila sie wanene inatugharimu vingi ili tuone lane tupo ktk kundi. Hapo hukua mnene ila mkono Mashaallah

Queen darllin yeye sijui nimekauka picha moja na kaka meneja ,ambaye alikuwepo tu ila hausikI
Queen d. Yuko kaa dume mvuto hana . Mungu nisamehe nimejukuta tu niko negativery leo na sipendagii

Ila Mrs mengi na millen mmenimaliza kwa mvutรถ

Miriam odemba na huyo mwenzie Yaani najufunza kaa sijawaona rangi nazo z imepoteza muonekano wao .
Odemba nilichoona ni lipstik na shanga na kucha.
Mwenzie nywele, koto jekundu na saa.
Asante Mungu kwa kuumba ila ....

Anonymous said...

Natamani sana sana short hair, ila sasa udhubutu wakukata!!!!! yani natamani kuoga from head to toe kila siku, ipo siku tuu

Anonymous said...

Ukute wewe ni zero mvuto kuongelea wenzako eti nimejikuta niko negative basi ukiwa negative jifunze hata kuiandika nyambaf

SUZANA ANORD said...

ndio mana nawaambiaga bongo wati wengi hawajui kutofautisha kati ya modo na miss
hapa da nuu kaweka mamiss na mamodo sasa kwa kuwa hujui kutofautisha ndio mana umeshindwa kuwaelezea vzr
modo na miss hawafanani kwa vigezo hata nukta
na ukiwa unafanya tangazo la bidhaa flani kwa modo utaona kama sio mzr ila mamodo wengi ni wazuri sana
gugo basi ujue tofauti hizo
afu ndio urudi kuwakosoa,
wamependeza kwa unene wao na wembamba wao hawana hata kasoro
may b tabia zao ambazo sisi wa nje hatuzijui