Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, May 12, 2017

HAPPY BIRTHDAY SALLAM!!!


Ok Wema cut it out with that accent it is soooo kupitwa na wakati..,
Alot of People kwakweli walijitahidi sana tena mno kuvaa na kuendana na theme ila wabongo na theme kuna baadhi ya watu na a sudden mentality hawaheshim dawa yao ni kuwarudisha tu home mpaka waelewe.
Nimemuona Wolper kapendeza sana juu sema sina picha ya vazi lake lote.
Great theme,Great party,Great venue na  mwenye birthday ni entertainment tosha na watu wameenjoy.,
Millardayo.com

2 comments:

Anonymous said...

That accent is sooo annoying urrrgh...CinTea

Anonymous said...

awful yaani sipendagi anavyoongea very not normal sorry!