da nuu naomba kuuliza tu wala si kwa ubaya ni kutaka kujua may b upeo wangu n mdg hvi hawa washonaji mbona kama wanataka kufanana kwa mitindo yao mana wote wanaweka tausi chini afu ubunifu ni uleule yani utofauti wa gauni moja kwenda lingne ni kdg materials wanayoyatumia ni mazuri na yanavutia kwelikweli shida n mitindo mana mnaweza mkajikuta watu 3 kwenye party moja mmevaa nguo za designer mmoja na yote yana tausi chini, why? they need to come up with new design jmn N.B naomba nieleweke sijachukia magauni ila ninatoa maoni kwa hao washonaji sio lazima wote washone yenye tausi au ya kubana
2 comments:
da nuu naomba kuuliza tu wala si kwa ubaya ni kutaka kujua
may b upeo wangu n mdg
hvi hawa washonaji mbona kama wanataka kufanana kwa mitindo yao
mana wote wanaweka tausi chini afu ubunifu ni uleule
yani utofauti wa gauni moja kwenda lingne ni kdg
materials wanayoyatumia ni mazuri na yanavutia kwelikweli
shida n mitindo mana mnaweza mkajikuta watu 3 kwenye party moja mmevaa nguo za designer mmoja na yote yana tausi chini, why?
they need to come up with new design jmn
N.B
naomba nieleweke sijachukia magauni ila ninatoa maoni kwa hao washonaji
sio lazima wote washone yenye tausi au ya kubana
Nahisi na nafkiri ni wateja ambao ndio wanapenda hiyo staili..,Nimekuelewa point yako
Post a Comment