Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, April 6, 2017

VIVA ROMA!!!
Something is not right.,
Na ningeomba wasanii kesho muitishe pressconference muwe kitu kimoja kwenye hili.
Roma is missing na hiki ni kitu serious na the more time inavyozidi kwenda kama ni amepelekwa mbali ndio anazidi kupotea because we are loosing time.
Kama simu inasomwa na iko on kwanini hawaitrack?
Na kama simu iko wazi it means these people are amateurs au wametumwa.
Wasanii wasanii kama hakuna chama it is high time kianzishwe.
Kama hamna umoja kwenye swala hili keshokutwa tutamuandika mwingine.
IT is high time kuwa na Umoja no matter what and Demand some answers.
Mungu msimamie,mlinde, mpe moyo na mpe hope baba,I hope to hear news nzuri Roma kesho inshallah,Viva Roma!

1 comment:

Anonymous said...

Ushairi mzuri saana Nuru. Ila wa inbox wanamiliki iwajuao ili walifanyie kazi hili.
Na hakika blog yako haisomwi na wengi . Mola atamlinde . Tujifunze kuhadithia nyumbani tukiwa na ugomvi na Mtu ili iwe rahis kujua nani ahojiwe.