Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, April 9, 2017

TERROR ATTACK DROTTNINGGATAN,SWEDEN!!!

After being locked in we were finally released so we could go home.
Since my work place is at the city centre close to where the attack was we were not evacuated until the swat team had Search all the premises.
ALL the shops,restaurants and any kind of business had to shut down in town.
So far 5 people are dead and 15 injured.
Until now as am typing on my way home Drottninggatan is closed and The Police and special forces are there.
IT HAS been an awful day but sad aswell since there is someone crying for their loved ones.
No plans are taking off they were cancelled and for 6 to 7 hours neither train,busses or commuter trains were in service because the Police had ordered everything to stop and evacuate the people.
One or two people did something today that effected so many today,Sad.

Sasa hivi ninavyoandika ni karibu saa saba usiku ndio naenda nyumbani kwani tulikuwa tumefungiwa kazini na polisi haturuhusiwi kutoka kwani sehemu ya tukio na kazini sio mbali kabisa so maduka na migahawa yote ilifungwa na watu kuwa evacuated.
Kwa masaa 6 mpaka 7 hakuna treni,basi,au usafiri wowote kwani polisi walistopisha kila kitu.
Watu 5wafariki dunia na 15 kujeruhiwa.
Leo haikuwa siku nzuri kabisa.,
Yaani watu wawili wamesababisha gharama,hasarA na huzuni kwa wengi sana siku hii ya leo.
Mungu atusimamie,ameen!
.

7 comments:

Anonymous said...

Poleni sana, janga hilo tuombe lisitokee tena kwetu Tz na jinsi tulivyo? Ikiwa kwenye ajali badala ya kusaidia watu wanapekenyua mifuko ya waliopatwa na ajali hata marehemu, tuombe Mungu atusaidie kubadilika na tabia zetu mbaya. Ubinadamu uwe kwanza...CinTea

NURU THE LIGHT said...

Cintea umenikumbusha mbali ishawahi nitokea dah..,ahsante

comfort said...

Poleni sana.

comfort said...

Poleni sana.

Cute Olive said...

Pole sana Nuru watu wanakosa hofu ya Mungu jamani kuua wenzao sijui watajibu nini. Tuombe Mungu atusaidie

Bintinyota said...

Poleni sana. Allah awape subra familia. Na kuwasamehe walotangulia ktk haki. Na awape ulinzi zaidi ktk Nguvu zake. Ameen

Anonymous said...

Mungu wangu, Poleni sana..Mungu azidi kutulinda hili janga linatisha saaana.
AM..