Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, April 26, 2017

New Look From Mama Watano,Zari!!!


3 comments:

Anonymous said...

Zari umependeza ila anapenda picha.Na hivi follow wako weng wa TZ . Wanaandika wee dd mzuri
we umependeza
Wanakufanya uzid kuwa desparate

Uwiii sion picha za ofisi wala kwenye biashara zake kama wanawake wenzake south Afrika . HaYY anabadilisha ma hali.
Kwenye pool
Mezani .nje.bafuni .kitandani ngoja nilale kwanza .
Kupenda kusifiwa nako kilema.hata @zondwamkandia anaweka yuko kumukazi

Cute Olive said...

hahah muacheni wifi yetu ameamua kuwaweka mbali na biashara zake mana watz tulivyo na midogo kwa ya wenzetu duh! nimepende mama watano utazani hajazaa hongera Zari

Anonymous said...

Madam commenter calm your tits down if u want to see zari at work follow her snapchat or google Brooklyn city college SA or better still fly to Ug n go to kingsgate mall and buy some of her jewellery NKT!!!! And again never involve Zozo in your stupid hatred for Zari.They are biz partners.Tanzanians wena bathong!!!!