Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, April 12, 2017

MWIGULU NCHEMBA I HAD HIGH HOPES FOR YOU BUT YOU STILL DON!T DELIVER!!


Katika watu nilikuwa nawakubali Mwigulu alikuwa mmoja wapo.
Wakati anagombea he had one of the best speaches and campaign for that matter tena at times better kuliko hata Makamba but somewhere ikawa ilivyokuwa.
I know for a fact Mwigulu kachangia sana Magufuli kushinda kwani he was out there Campaigning mpaka akasahau kushave akawa Mwigulu madevu but najua ni kwasababu alikuwa kazini na aliibeba ile kazi mpaka kupata ushindi wa JPM.
Sasa tokea mshkaji wangu kawa WAZIRI wa mambo ya ndani ni kama hayupo.
WE do not see you neither hear you,what happened Mwigulu?
Vitu vinatokea matukio mbali mbali offcoz watu watakukimbilia wewe na kutaka majibu sasa ukimya wako unafanya watu wawe na wasiwasi na pia kutokuwa na muongozo.
Sitaki kuongea mengi sana lakini nakuona kabisa sio Mwigulu yule ambaye nilimuona mwaka uliopita.
Na hata hii clip shows a different man from the one i saw so anyhow i just hope nitasikia zaidi kutoka kwako na si maneno tu Bali hata hatua.

1 comment:

SUZANA ANORD said...

natama apate award ya kuvaa bendera ya taifa
mana si kwa mapenzi na nchi yake
@Mwigulu