Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, April 20, 2017

Msiombee watu wazae Bali waombeeni ili wawe Wazazi Bora!!!

Kuna watu mnawaombea ili waitwe mzazi bali hamjui kama watakuja kuwa wazazi bora kwa mtoto wao.
Kuna watu hawafai kabisa si kuitwa tu Bali hata kuwa wazazi.
Kuwa Mzazi na mlezi bora si kitu rahisi kabisa na ndiomaana huwa naheshim mtu anayesema mwenyewe kuwa mimi sitaki mtoto kwa kuwa najua si kitu nitaweza kukimudu kwani kuwa mzazi ni jukumu kubwa sana.
Kuitwa mzazi na kuwa mzazi bora ni vitu viwili tofauti.
Kuzaa  na kulea ni vitu viwili tofauti.
 I repeat kuwa kuzaa na kulea na kuja kuitwa mzazi bora ni vitu viwili tofauti,Nimemaliza.com!

2 comments:

Bintinyota said...

SubhanbaAllah

anonymus said...

Yaa Allah nakuomba ipokee dua yake na mtoto huyo aje kwangu kwa namna uijuayo wewe usieshindwa na jambo Amin.