Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, April 19, 2017

MIMI NLIJUA PICHA ZA NGONO TU KUMBE NI ZOTE HAZIRUHUSIWI KUUZWA, AMA??

Bongo movie wakiandamana Leo hii kariakoo.,
Na vijana wauzaji wakilalamika Pia.,
Global tv

3 comments:

Anonymous said...

Hakuna watu hii nchi wanaonishangazaga kama bongo muvi. Nakumbuka kuna kipindi tv/radio zilipiga sana miziki ya kinaija so bongo flava wakapambana na kuboresha kaz zao saiv hata kwenye mashughuli makubwa ni nyimbo za kibongo kwenda mbele, ila hawa ndugu zangu kadri siku zinaenda ndio wanazidi haribu saivi hata bure siangalii muvi zao hata wadada wakazi na mama wa nyumbani hawaangalii bongo muvi.. nguvu wanaotumia kuandamana wangeenda drama school wajifunze waboreshe kaz zao.

Anonymous said...

BONGO MOVIE
MAKONDA
MWAKYEMBE
WOTE ZIROOOO
UNAMKATAZA MTU ASIUZE FILAMU YA NCHI NYINGINE WAKATI FILM ZA BONGO MOVIE USHUZI MTUPUUU
NI KULAZIMISHA MAPENZI YA WATA ZAMANI . MIE NIKIINGIA YOUTUBE SIANGALII FILM YA BONGO. HAWANA UKWELI MOVIE IN AONEKANA FEKI MPK WACHEZAJI FEKI.
MUNGU AWAZIBE MACHO WATZ WASINUNE HATA MOJA. KUARIBIA WATU MAISHA TUUU. NASIKIA MADAWA YAMEFUNGIWA NA UIIKUTWA UNAUMA FILM YA NJE MAKONDA ANAKUTEKA
MBONA WENGI MARINDA HUKO SERIKALI NI MPK AKILI NARINDA

Anonymous said...

STEVEN NYERERE NA UMBEA WAKE KASEMA KWELI
Binafsi ninalipinga hili, wasanii tunataka kutumika ndivyo sivyo, siwezi tu kuambiwa kuwa kuna maandamano nikaenda.

“Tunavyosema filamu za nje zinazuia soko la ndani ni uongo, hizi filamu za nje tangu tunazaliwa zilikuwepo, tumewakuta akina Arnold Schweziniger na Rambo, filamu zao zilikuwa zinauzwa Kariakoo. Tulichukua majority yao tukatengeneza filamu zetu. Tuliwakuta Nigeria tukashindana nao tuaweza, hata za filamu za Kihindi tuliweza kushindana nazo.

“Hatujawahi kumzuia Yemi Alade afanye muziki hapa nchini ijapokuwa tuna wanamuziki wetu akina Diamond na Ali Kiba.

“Nachoweza kusema ni kwamba turudi tuangalie ni wapi tumeharibu, tuache kuingiza visingizio ambavyo havina mantiki. Wafanyabiashara Kariakoo wanauza filamu zinazouza na siyo uzalendo.

“Watanzania tumezoea kukaa mezzani na siyo maandamano. Utazuia Dar, je vipi kuhusu Arusha, Dodoma, Mwanza nk… hili janga sio la Dar es Salaam pekee ni la Tanzania nzima.