Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, April 10, 2017

KÄRLEKS MANIFESTATION PÅ SERGELS TORG,LET LÖVE RULE!! SERGELS TORG TODAY.,
These girls were offering free hugs,.so sweet
He was offering free hugz🌞🌞
The note says it all.,
IT was absolutly amazing to be there today after what had happened even if i think its too EARLY but people came with lots of love to give men it was powerful to watch,experience and be a part of history.
The Police were given Roses by many and personally I think that they did a very good job and i think by now they have all the people involved with the attack,thank God!
AS always i was with my partner Comrade G.,👫👫👥👥😎😎kärlek!
Till de döda må ni vila i frid❤❤❤

Tulikwenda kwenye manifestation iliyofanyika leo kwenye sehemu ya tukio lilitokea ijumaa tarehe 7 april 2017.,
Watu walikuwa wengi sana ila palikuwa na mapenzi kila kona kwani watu waliungana kukemea CHUKI kwani hiyo ndio sababu ya majanga mengi duniani.
Watu tulikuwa tunakumbatiana na kupeana moyo,kupeana support,watu wa kila rika,dini na mengine mengi wote tulijumuika na kuonyesha umoja.
Media kutoka nchi mbali mbali zilikuwepo kiukweli it was a lovely manifestation.
Polisi walikuwa wanapewa mauwa kila kona kwakweli wamefanya kazi nzuri sana maana washawakamata wahusika.
Watu walikuja na mauwa na mishumaa au bangle na kuandika message tofauti kama tuombee ulimwengu❤❤✌✌👈
Images Aftonbladet,24 nyheter,Sverigesyd,expressen

No comments: