Kajala was doing so well at the gym she motivated me big time, but sijui why she stopped, I know its hard na even harder when don't have discipline with food and drinks, but its never too late she can go back
bongo tunapenda kula vitamu vitamu jmn na bia na minyama choma yani nitolewe out, nijibane kula choma mbuzi na bia kisa diet hahah!!! diet my foot ndio mastaa wetu walivyo wengine angalia mtu akivuma kdg kapata hela anajisahau kulinda sauti yake siku anaambiwa aimbe live bila vyombo sauti utazani amekabwa na kiazi kuna vitu vingne warudi shule za music, wajifunze kutunza sauti zao na body zao niliwahi msikia Bey anasema anapenda kutunza sauti yake njoo bongo mastaa wanapenda off jmn
4 comments:
We silikuwepo gym??? Au ndo u like nda kuvizia. Ndo yale Mange a nasemaga gym miaka na shingo haijulikaa iko wapi.
I love the first outfit, I wish ningemuona mpaka chini. Winnie
Kajala was doing so well at the gym she motivated me big time, but sijui why she stopped, I know its hard na even harder when don't have discipline with food and drinks, but its never too late she can go back
bongo tunapenda kula vitamu vitamu jmn na bia na minyama choma
yani nitolewe out, nijibane kula choma mbuzi na bia kisa diet
hahah!!! diet my foot ndio mastaa wetu walivyo
wengine angalia mtu akivuma kdg kapata hela anajisahau kulinda sauti yake
siku anaambiwa aimbe live bila vyombo sauti utazani amekabwa na kiazi
kuna vitu vingne warudi shule za music, wajifunze kutunza sauti zao na body zao
niliwahi msikia Bey anasema anapenda kutunza sauti yake
njoo bongo mastaa wanapenda off jmn
Post a Comment