Sasa mpaka mda hii hakuna jibu jamani what is going on?
Sitaki kuongea sana tusubiri maana tusifikirie mabaya kwanza kabla hatujajua sababu but please Mungu wasaidie hawa vijana warudi salama kwani mkewe na mtoto bado wanamuhitaji na mwenzake pia na yeye ARUDI salama ili waweze kuendelea na maisha yao,ameen.
1 comment:
Mmmmmmh sijaingia humu leo siku nzima hii hatari sasa.Mungu amsaidie .
Post a Comment