Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, April 13, 2017

I Dont Get It!!!So Mose Iyobo  umepost picha ya mtoto wako wakike akitwerk,na yeye ni mdogo sana kujua hata anafanya nini which is normal kwakuwa yeye ni mtoto na wewe ndio mkubwa unayetakiwa kumprotect na kumfunza.
So you post mtoto wa kike then mtu anakufahamisha kuwa umekosea unamtukana matusi tena matusi mazito.,
Mtoto wako ni wa kike ambaye anacho hicho hicho unachokitukana!
Unamtukana tusi AMBALO hata wewe ulizaliwa kutoka kwenye K,.,Respect that!
Unamtukana mtu kitu ambacho kimemtoa mtoto wako plus kinakupa wewe raha really?
Hivi kwann wanawake kwa wanaume mnapenda sana kutumia neno k..mamako Why?
Mbona siwasikiagi kusema Kuba....ako!
Yaani hili neno linachukuliwa poa sana and it is sad na hii post ya Mose na jibu lake is even Sadder!,

7 comments:

Anonymous said...

Yababa haianzi na K...lol usinifanye nikaanza kuunza sentensi. Nilikuwa na mpenda Iyobo kwa upole wake ila alivyoanza mavanga na hamorapa and now this? Sina hamu naye sijui kuburi anakitoa wapi.Mungu amsaidie ajirudi...CinTea

Anonymous said...

Stupidity,hata kuchukua hii video ni ujinga tosha. Then baadae waanze kujiuliza where did they go wrong mxiuuuuu

Cute Olive said...

Kumuabisha mtoto tu huko ukweli unauma ndio maana anatukana hovyo hivi Aunt hajamshauri huyu kijana juu ya kupost hiyo video watu wazima hovyo!

Anonymous said...

Mastar wa kibongo hawajitambui. Wanafanya watoto wao kama ma tangaza.
Moses mjinga .mama yake ana kibuyu au anahicho alichokitaja.
Hawajitambui
Aloandika amemaliza vizuri tu. Ila mama au baba akuwa Malaya hurithisha kiazi. Ila Mungu wanangu watoto walozaliwa na vitu vibaya vya kurithi. Muingize black cokiii

NURU THE LIGHT said...

Hata mimi nilikuwa namuona mpole na mwenye busara ila ndio hivyo kwenye hili dah not cool at all.,

comfort said...

Watu mtukanage na madude ya baba zenu lo!kila siku K.

Bintinyota said...

Kamtukana mama yake, Dada zake, aunt zake, huyo anayekichezea kila kukicha, na cook mwenyewe anacho!!!!!
Na yeye ndicho kilichomtoa akili mpaka kufanya vitu haviendani naye!!!

Starehe imekaa pabaya!!
Unatusi Utamu wako, usingizi wako!
Na ukumbuke bila kukikeshea hicho hujawa mwanaume Rijali, na hivi mkata viuno!!! Ndiyo kabisaaa utaonekana Sabri Bachan