Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, April 21, 2017

DO NOT SETTLE FOR YOUR NEEDS OR WANTS BUT INSTEAD SETTLE FOR WHAT YOU ARE WORTH,LOVE YOURSELF!!!

Incase you haven!t noticed these last couple of days i have been a bit slow on updating or being updated myself because i had to write a report due to The terror attack that occured two weeks ago.
Am so glad i handed over The report today and plus held some important meetings with various Bosses from different departments which went really well thanks to my team.,Älskar er gänget!

Hizi siku mbili tatu nimekuwa tite kidogo kwasababu nlikuwa na report ya kuandika kuhusu tukio lile la kigaidi lilitokea wiki mbili zilizopita so nlikuwa na conduct interviews na polisi,wanasiasa kwenye idara husika,wafanyakazi na mabosi kwenye different sekta kuweza andika ripoti yangu.
Leo nimeiwakilisha na nimefurahi Kuwa imepokelewa vizuri na vitu vinavyotakiwa kubadilishwa nitawacheki tena baada ya mwezi kujua wana mpango gani in moving forward.
Siwezi kuchukua sifa zote bila kuishukuru team yangu,Kärlek!!!
Tack fina Daniel för dessa bilder😘😘😘

7 comments:

Cute Olive said...

Hongera sana Nuru

Anonymous said...

A woman of substance

Anonymous said...

CONGRATS NURU BIG ONE-----ambutterfly

Anonymous said...

Hongera da nuu
By suzana

Anonymous said...

Unajitambua na hauna makuu mdada

Anonymous said...

Hongera sana Nuru. Winnie

NURU THE LIGHT said...

Thank you my people😙😙