Safari hii mpaka mama mzazi kaingizwa.
Beyonce alikuwaga Hajibu maswali wala kuongelea kuhusu mahusiano yake mpaka waandishi walikuwa wanajua hilo so hawamuulizi so if the case ni kwamba hamtaki watu wajue why comment on it maana ndio kinachowafanya watu wawe na opinions,wawanukuu just because mmetoa jibu lakin mngekemea swali basi hata wadau na waandishi wangechoka na wakawapa space mpaka siku mkiwa tayari.
Kama you have chosen mahusiano yenu kuwa private then make it private and don!t give the m asses something to talk about but you cannot have your CAKE and eat it at the same time..
2 comments:
Hao ni wapumbu pumbafu ndo maana huwa si mpendi kiba wanaume wa sampuri hii huwa watata sana yani ni mchepuko mkubwa kwenye mausiano hawa eleweki hata ugonoe mpaka aguse ini fyuuuu.
Majibu ya Ally Joketi na mama nimeyapenda sana. Kuliko haya yawanywa viroba Aunt ezekiel .anajibu mpk mara ya mwisho walivyolalana.
Muda si mrefu ata jibu style za kitandani.
Mama Kiba kaonesha busara ya kwamba mwanae hakumtambulisha kama wako marafiki ni rafiki ya mwanae wa kike.
Ningependa wamama wote TUWE hivyo .Kwani watoto bado wanabadili wapenzi na ukijidai najua utajijuua. kila akipata hawara mpya mama uko tu kaa bendera inavyofata upepo.
Nina mfano hai.
Mama diamond
Mama wema
Mfano mama shilole angekuwepo di tafran yu au mama Wolper angekuwepo anafatana na nwanae kama wengine siangetangaza wakwe zake kila miez 6 mkwe mpya .
Wanawake wa kiafrika tu endelea kuduishap mila zetu.
Post a Comment