Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, March 1, 2017

YALIYOJIRI!!!

 WELL NAONGEA NINI ZAIDI YA HONGERA,MWAKA HUU MPAKA UKISHAAMUA SIJUI,NAOMBA NIHAMIE KIJIJINI GADEM!
 INAMAANA WAZAZI WAANZE KUTEMBEA NA WATOTO WAO TWENTY FOR SEVEN?
HOW ABOUT YOU KAMA SERIKALI KUMAKE SURE WATOTO WANAPATA ELIMU BORA ILI WAJIGUNZE KUJITAMBUA NA WASITEMBEE NA MIJITU MIZIMA NA KUPEWA MAGONJWA NA UJAUZITO.
SOMETIMES MFIKIRIE KABLA YA KUTUNGA SHERIA SIO TU KUTUNGA DUNIA YA LEO MTOTO SI WAKO TENA BALI WA AL DUNIA.
YAANI KUNA VITU SIO VIZURI WALA HAVILETI MANTIK KUVIONGELEA NOT ONLY KWAKO BINAFSI LAKIN HATA KWA JAMII,,
ILA HAWA SIKU HIZI WANAROPOKWA KUMAKE HEADLINES TU THATS ALL,SO FUCKIN SAD MIJITU MIZIMA KILA KUKICHA INATAMKA MI STATEMENT YAKIPUMBAVU Wanaudhi sana wengine tunahangaika kubadilisha fikra za wasichana wa kesho Istoshe una mtoto wa kike wewe na wigi kama bambucha unaongea upumbavu,,,
Ngoja ntafute the video of the Interview and maybe just maybe ntelewa but for now..

10 comments:

comfort said...

Huu mwaka ni shidaa

Anonymous said...

Wanataka sifaaa
Kisha eti wafike Nollyhood wataendeleaje kutafuta SIFA mpk wa pate wajukuu .watu wazima haya zimewataka. Utakuta mtu a najiuliza upuuuz mpk kichefuchefu. HizI elimu zao ndo hizo Ngwajima anaziiita amezungusha .maana hata dv.. 0 inathamani

comfort said...

Halafu ukishawafunga wazazi unaongeza matatizo au unapunguza?sasa ndy wazazi wakianza kuwatoa mimba watoto wao msiwalaumu.

Anonymous said...

Raisi nae ananiboaaa .vyetu vyetu havina maana . VIJANA tutaendelea kupiga kampuni tuuu na kulipwa sio kupewa ajira.

comfort said...

Huyu Anti naona fyuz zinaanza kuachia.

comfort said...

Tatizo wanaendaga kwa interview wamekunywa viroba

Totoo said...

Comfort umesema kwelii. Yani lazima wapate steam kwanza. Unajisifia ujinga na aibu. Chaaa Bongo kumenishnda kwa tabia

gtie barbie said...

Wig kama bambucha jamouni hahahahhhh

sosoano said...

da nuu huyu ant sijui buibui ataachika mda sio kwa maneno yake aliyotamka
we ngoja ya sokwe yaamke muone kama hajaachika ka wolper

Anonymous said...

Well said Comfort! viroba tuu hapo! why do we like making STUPID ppl famous? why??? sob sob sob!!