Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, March 29, 2017

WHY CARE!!!

Kuna wakati mnakuza vitu ambavyo havileti mantik wala kukuongezea chochote more than just kuwa tu a topic na itapita na kila mtu ataendelea na maisha yake kesho yake.
Kama wao wameamua kuolewa na mwanaume mmoja ni maamuzi yao kwanj si ni bora hawa wameamua kuliko wale watu wao au wao wenyewe wanamichepuko 4 tofauti nje ya ndoa na wake au WAUME zao wanajua na bado wamekaa kimya?
Si bora hawa kuliko kuact kuwa una ndoa wakati nje unapanuliwa kama kawa tena by choice..,
Si bora hawa kuliko kuwa na mtu mpira wake umeingia kila neti nje ya mahusiano yenu..,
Si bora hawa kuliko those Who choose to live a lie mbele ya umma ILIMRADI tuu..,
AU is it the fact kwamba wao wameikubali hii hali ndio kigumu kuwaelewa hawa viumbe?.
People do all sorts of shit for money leo mnawashangaa hawa,mbulaaa!
Personally i dont give a rats ass because wote hawa ni watu wazima,wanajua wanachokifanya,wamekubali kufanya na wako tayari kwa lolote so for that reason alone I could care less maana this is where mwanadamu has Come to.,

No comments: