Genuine Nordic Vodka
Wednesday, March 1, 2017
WHY CARE!!!
Here we go again and yaa sio kila mtu anataka kuolewa au kuzaa,,
Cha pili wewe kama unataka Kuzaa,Zaa.
Cha tatu wewe kama unataka au una shida ya mume au mke then make it your mission Olewa,au Owa!
Kingine elewa kuwa unachotaka wewe au ndoto yako wewe sio necessarily ndicho anachotaka mwenzako.
IFIKE MDA MJIFUNZE KUHESHIM MAAMUZI YA WENGINE HATA KAMA WEWE UNA MTAZAMO WAKO KWANI AT THE END OF THE DAY KUITWA MKE AU MUME NI MAAMUZI YAKO BINAFSI ELEWA HILO KWANZA,MAAMUZI.
WAKO WATU SASA HIVI NI MR AND MRS KWENYE KARATASI TU BALI NDOA HAWANA SO CHA MSINGI MUOMBE MUNGU KUWA KILE UNATAKA KIWE VILE UNAVYOTAKA WEWE NA KIWE NA HESHMA,BARKA NA AMANI LAASIVYO NI KAMA VILE TU UMEKIMBILIA MUME/MKE NA KUUKONDESHA MOYO.
Kuna watu hawajui mda huu watoto wao wako wapi,je wamekula ama wana future gani kwani walishawatekeleza lakin atakaa mbele za watu na kujinadi kuwa ana mbegu ya kumzalisha mtu au kuzaa mtoto.
Msipende kuwapangia watu maisha ambayo hayawahusu wala hayatowabenefit na kingine wewe kama wewe una maisha yako so fanya kama kufocus na hilo and everything will be just fine.
Maisha yetu na historia yetu hujengwa kwasababu ya Maamuzi yetu tuliyokubali kuyafanya at any given time so chochote utakachoamua ni juu yako but Most importantly Heshim na kujua kuwa maamuzi yako na ya mwengine are not always the same,Nimemaliza.com!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
10 comments:
Harmonrapa kiboko wa ma bishop
Ndo habari mjini
Moses Iyobo. ...
Sipendi mtu kunipangia maisha khaa!
Hongera ila Nuru tusiwaige waswI'd sambo sambo. Kuolewa kuna heshima yake jamani..Na wanavyoukilubali u hawana ndoa ndo basi tenaaa
Wanaikubali bcoz ina haki zote kama mke na mume kisheria ndiomaana hawana tatizo nalo,,
Hatujakataa ndoa ina heshima yake but ndoa haileti heshima kama nyie mke na mume hamna heshma na kutoiheshim ndoa yenu nadhan umenisoma,,
I think it's a very personal decision. For example I am married but we both do not want kids because of our life styles. I for one do not want to have kids and be at work all day and have someone else raise them, but that's just me and many more other reasons. But marriage is viewed differently through out different cultures. I do not understand why people are respected more when they are married in Tanzanian culture, that just blows my mind.
Mwaga pointi Ze mwanga penda wewe
Nuru I always support your points ila leo I beg to differ in one way!!!jamani marriage is very important! you love someone marry them, keep then as yours legally na hata mbele za Mungu! issue zakumegwa kisela wala haina maana 13 yrs is forever
Tatizo TZ watu kuwajua watu kuliko wanavyojijua wao.
Mxxxxx watwambie maisha yao yakoje.!!!
Ndoa zioneni tu.
Kuna watu wanatamani hata ardhi immeze!! Apotee tu
Kweli umesema. Mai tisiwaige hawa waswld sambo sambo au jilani zao samboer. Dada anapotezewa muda.
Ni maamuzi yao alimradi kila mmoja yuko happy kinachotakiwa ni amani ya moyo na furaha katika maisha unaweza funga ndoa ukatamani ardhi ipasuku.
Post a Comment