Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, March 27, 2017

WHEN YOU TALK ABOUT ME BY ALL MEANS TALK ABOUT MY HUSTLE,HOW DISCIPLINED I AM BUT ALSO THE RESPECT I HAVE FOR THOSE WHO DON!T GIVE UP ON LIFE!!!

 Heading to the location kwenda kupimaring Les Kiwanja.,.,
Sometimes in life we go through a very happy phase where things just flow by itself and we wonder why or worry when we are suppose to be happy to get to that state of mind cause some of us will never get there because of the circumstances so they learn to seize the moment right then and there.
A person who has experienced war knows the joy of peace but on the other hand one who have never experienced a war doesn't value peace the same way since it was never taken away from them to begin with.
Learn to seize the moment when your child is doing or showing you something cause there is gonna come a time where your view won't matter as much since he or she is turning into a man or a woman trying to figure out where they belong so be present today cause that will make a big impact on your child for his or hers to be confident enough to meet or face whatever it is the world has set for them.

Ningeomba wazazi ambao mko nje ya Tanzania au hata ndani ya Nchi muwafunze watoto maana ya kuwa na mali tokea utotoni.
Sio lazima uwe tajiri kumfunza au kumtayarisa mwanao kwa maisha ya baadae.
One of the biggest mistake waafrika hufanya ni kutowafundisha watoto maisha ya kesho tena kwenye sekta zote nikimaanisha Maarifa.
Kuna wazazi hata hawajawafungulia watoto wao a savings account but ananunua brazilian for 1mil.
For example hapa mtoto anaanza kufundishwa utotoni jinsi ya kusave hela kwa baadae na hii inawajenga kwani hata mimi siwadanganyi wakati nimeenda Tanzania kwa mara ya kwanza baada ya kukaa mda mrefu sana ulaya nilikasirika na kusikitika kuona baadhi ya watu rika langu wanamiliki nyumba,biashara and so on nikawa sielewi,how is this possible?
Juweni kuwa bara la Africa ndio bara peke yake ambalo bado unaweza kupata utajiri upesi sana.
Ile hali ilinipa maswali mengi ikawa inaniumiza akili kwanini mama hakunipa hiki nikimaanisha hii akili au maarifa kuwa mwanangu kuna Nchi tumetokea na iko siku tutataka kuwa na hiki au kile.
 Ila kiukweli siwezi kumlaumu Mama yangu maana haitakuwa fair kwani My mom alikuwa a single mother na watoto na bado pia Tanzania alikuwa akilea familia yake kubwa sana so hata hivyo alikuwa na majukumu mengi sana na aliyabeba yote bila kulalamika so cha msingi mimi nilivyoona ile hali ikawa imeniamsha akili na kunihamasisha nikasema sasa nikirudi ughaibuni i know what to do.
Jamani mimi nimeanza mziki mtoto mdogo ulaya so kama hela nilishashika lakini kwavile sikuwa najua maisha ya kesho vile nilikuwa a teenager na under 18 so sikuwa na maarifa au akili ya kujua what to do with my money.
Sometimes nacheka tu mtu anakwambia hauna nyota wakati anayofanya Vee na Diamond tulishayafanya ages ago ila wengine ss sio watu wa sifa tuko humble,you dig!
Na huyo huyo analog in na kukusoma each and every got damn day,walimwengu bana but hilo sio muhim nirudi kwenye point yangu..
Unaambiwa better late than never so safari yangu ya mabadiliko ilianza baada ya kutoka Africa na kurudi ughaibuni na Naam since then natizama mbele na mbele tu kwani sasa nishakuwa mtu mzima so siwezi kumblame mtu mwengine na huwa najaribu kila wakati kuwa mfano na kuwaonyesha wasomaji wangu wote kuwa INAWEZEKANA.
Anza na kidogo au kikubwa ulichonacho,usiwe na papara but Anza na muhimm kuliko Vyote fanya kwasababu unataka,uko tayari na sio Kufurahisha wengine,do it for you.
Kama umeamua kuwa wewe ulaya ndio umeshafika na huna mpango wa kurudi hayo pia ni maamuzi yako na tutayaheshim,Nimemaliza.com!

8 comments:

Anonymous said...

Nakupenda na unani inspire

comfort said...

Safi sana.umenifundisha kitu hapo.

Cute Olive said...

Umesema yote dear

Mischa said...

Nakubali 100%,Nakumbuka nilifanya volunteering kwa shirika mmoja yule mama mwenye shirika alitununulisha mashamba kwa lazima enzi hizo laki 2 eka,afu akawa anatukata kwenye stipend,kweli tulinuna miezi mitatu.
But leo nikikaa nawaza kwann hakunilazimisha hata eka5 maana thamani ya eneo sasa ni almost 10Mil.
So Tanzania kweli tunabahati mm naamini mali hutoka shambani.

NURU THE LIGHT said...

Tanzania ni nchi ambayo bado ardhi ni rahisi kununua we imagine uingereza kununua kanyumba let alone a MANSION inakukost kiasi gani... ni hela nyingi mno hata hapa Sweden an apartment tuu let alone nyumba kaka yangu kanunua nilikuwa namuuliza mara 20 are you sure but uzuri hata home kajipanga so kununua shamba au kiwanja kwa Tanzania bado ni bei nzuri ukicompare hata na nchi nyingine za kiafrika so nimekuelewa Mischa hata hivyo aliwapa maarifa na idea nzuri tu ya kuanzia.
Kama unaweza fanya leo usisubiri kesho na kama huwezi anza kusave for kesho.

Tabi said...

Safi sana,umesema yote, Mwenyenzi akubariki na atubariki sote

Anonymous said...

Kwa somo hilo wacha tu tutafute pesa ya kuwekeza kwenye ardhi best

NURU THE LIGHT said...

Tuko pamojah wapendwa ๐Ÿ˜š ๐Ÿ˜š ๐Ÿ˜š